Uendeshaji Biashara

Mpaka mwishoni mwa mwezi Disemba, 2019, SHUWASA ilikuwa na jumla ya Wateja 21,505.

Mamlaka inatekeleza mikakati iliyojiwekea katika kuhakikisha kwamba, huduma kwa Wateja inaendelea kuwa bora na kufikia viwango vilivyowekwa na mthibiti/Msimamizi wa Sekta (EWURA) Sehemu kubwa ya Wateja wa SHUWASA ni Wateja wa Majumbani ambao wanatumia maji kwa 70.7% ya maji yanayozalishwa na Mamlaka na sehemu inayobaki 29.3% ni kiwango cha maji kinachotumiwa na Wateja wa makundi mengine Kwa upande wa mapato, kundi la Wateja wa Majumbani linaiingizia Mamlaka mapato kwa 64.4%.Tovuti Zinazohusiana

NEMC
KASHWASA
Bonde la Ziwa Viktoria
Tovuti ya Taifa

Kupata Namba za Malipo

Kupata ankara yako na huduma nyingine, tafadhali fuata hatua zifuatazo;

  1. Piga *152*00#
  2. Chagua 6; Maji
  3. Chagua 1; Huduma za Maji za Pamoja
  4. Chagua Huduma Unayoitaka
  5. Ingiza Namba ya Akaunti (A476... au B476...)
Njia za Kufanya Malipo