Taratibu za Maombi ya Maunganisho Mapya
Hatua:
- Mteja atachukua, atajaza na kuwasilisha formu hiyo katika ofisi za SHUWASA.
- Mteja hutembelewa kwa ajili ya kupima na kutathimini.
- Mtejwa huandaliwa gharama kwa ajili ya maunganisho mapya.
- Mteja atatakiwa kulipa gharama atakazokuwa amepewa.
- Baada ya malipo kufanyika, Mteja ataunganishwa kwenye mfumo wa maji.
- Baada ya kuunganishwa kwenye huduma, Mteja atatakiwa kuingia mkataba wa makabidhiano.
ANGALIZO: MALIPO YA MAOMBI YA MAUNGANISHO MAPYA YA MAJI YAFANYIKE KUPITIA NAMBA YA KUMBUKUMBU YA MALIPO ALIYOPEWA MTEJA NA HAYATAKIWI KULIPWA KWA MTUMISHI.