Inachakata...
Ijumaa, Hufungua 01:30 - 10:30 (Isipokuwa sikukuu za umma)

Njia za Malipo ya Bili za Maji


Lipa kwa M-Pesa
  • Piga *150*00#
  • Chagua namba 4 (Lipia Bili)
  • Chagua namba 5 (Malipo ya Serikali)
  • Chagua namba 1 (Namba ya Malipo)
  • Ingiza Namba ya Malipo (99xxxxxxxxxx)
  • Weka kiasi
  • Weka namba ya siri
  • Thibitisha
Lipa kwa Tigo Pesa
  • Piga *150*01#
  • Chagua namba 4 (Lipia Bili)
  • Chagua namba 5 (Malipo ya Serikali)
  • Ingiza Namba ya Malipo (99xxxxxxxxxx)
  • Weka kiasi
  • Weka namba ya siri
  • Thibitisha
Lipa kwa Airtel Money
  • Piga *150*01#
  • Chagua namba 4 (Lipia Bili)
  • Chagua namba 5 (Malipo ya Serikali)
  • Ingiza Namba ya Malipo (99xxxxxxxxxx)
  • Weka kiasi
  • Weka namba ya siri
  • Thibitisha
Lipa kwa Halopesa
  • Piga *150*88#
  • Chagua namba 4 (Lipia Bili)
  • Chagua namba 7 (Malipo ya Serikali)
  • Ingiza Namba ya Malipo (99xxxxxxxxxx)
  • Weka kiasi
  • Weka namba ya siri
  • Thibitisha
Lipa kwa benki za NBC, CRDB na NMB
  • Jaza Fomu
  • Rudisha Fomu kwa Muhudumu wa Benki
  • Utapewa Stakabadhi ya Malipo