Inachakata...
Alhamisi, Hufungua 01:30 - 10:30 (Isipokuwa sikukuu za umma)
Habari Mpya

Hakuna habari mpya kwa sasa!

Ujumbe kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji

Mkurugenzi Mtendaji
Mhandisi YUSUPH KATOPOLA Mkurugenzi Mtendaji

Napenda kuchukua nafasi hii kukushukuru kwa kutembelea tovuti yetu ambayo imeendaliwa kwa ajili ya kuelezea kazi zinazofanywa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Shinyanga kuhusu eneo la huduma na viashiria vya utendaji kazi katika kulinda taswira ya Mamlaka kwa jamii.


Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa SHUWASA, napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wateja wetu wapendwa na umma kwa ujumla kwa ushirikiano mnaotupa katika kutekeleza majukumu yetu ya kila siku.


Asanteni sana na Karibuni.


Malipo ya Ankara

Malipo ya Ankara
Kupata Namba ya Malipo

Kupata Namba ya Malipo