Napenda kuchukua nafasi hii kukushukuru kwa kutembelea tovuti yetu ambayo imeendaliwa kwa ajili ya kuelezea kazi zinazofanywa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Shinyanga kuhusu eneo la huduma na viashiria vya utendaji kazi katika kulinda taswira ya Mamlaka kwa jamii.
Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa SHUWASA, napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wateja wetu wapendwa na umma kwa ujumla kwa ushirikiano mnaotupa katika kutekeleza majukumu yetu ya kila siku.
Asanteni sana na Karibuni.