Matanki ya Maji
Miundombinu ya maji ya shuwasa ina jumla ya matanki 11 yenye ujazo wa mita za ujazo 22,077. Tanki kuu lipo kilima cha Old Shinyanga lenye mita za ujazo 18,000. Tanki hili ndilo linalopokea maji yaliyotibiwa kutoka ziwa viktoria na limeunganishwa na matanki manne ya kupunguza mgandamizo yenye mita za ujazo 250 kwa kila moja.