Masaa

Jumatatu hadi Ijumaa (Isipokuwa siku za mapumziko)
1:30 Asubuhi hadi 10:30 Jioni
Jumamosi
2:00 Asubuhi hadi 6:30 Mchana
    

Tovuti Zinazohusiana

NEMC
KASHWASA
Bonde la Ziwa Viktoria
Tovuti ya Taifa

Kupata Namba za Malipo

Kupata ankara yako na huduma nyingine, tafadhali fuata hatua zifuatazo;

  1. Piga *152*00#
  2. Chagua 6; Maji
  3. Chagua 1; Huduma za Maji za Pamoja
  4. Chagua Huduma Unayoitaka
  5. Ingiza Namba ya Akaunti (A476... au B476...)
Njia za Kufanya Malipo