Njia za Malipo

KULIPIA BILI YA MAJI SHUWASA KWA M-PESA
 • Piga *150*00#
 • Chagua namba 4 (Lipia Bili)
 • Chagua namba 5 (Malipo ya Serikali)
 • Chagua namba 1 (Namba ya Malipo)
 • Ingiza Namba ya Malipo(99xxxxxxxxxx)
 • Weka kiasi
 • Weka namba ya siri
 • Thibitisha
KULIPIA BILI YA MAJI SHUWASA KWA TIGO-PESA
 • Piga *150*01#
 • Chagua namba 4 (Lipa Bili)
 • Chagua namba 5 (Malipo ya Serikali)
 • Ingiza Namba ya Malipo(99xxxxxxxxxx)
 • Weka kiasi
 • Weka namba ya siri
 • Thibitisha
KULIPIA BILI YA MAJI SHUWASA KWA AIRTEL MONEY
 • Piga *150*60#
 • Chagua namba 4 (Lipa Bili)
 • Chagua namba 3 (Malipo ya Serikali)
 • Ingiza Kiasi
 • Ingiza Namba ya Malipo(99xxxxxxxxxx)
 • Weka namba ya siri
KULIPIA BILI YA MAJI SHUWASA KWA HALOPESA
 • Piga *150*88#
 • Chagua namba 4 (Lipa Bili)
 • Chagua namba 7 (Malipo ya Serikali)
 • Ingiza Namba ya Malipo(99xxxxxxxxxx)
 • Weka kiasi
 • Weka namba ya siri
 • Thibitisha
KULIPA KWA BENKI ZA NBC, CRDB NA NMB
 • Jaza Fomu
 • Rudisha Fomu kwa Muhudumu wa Benki
 • Utapewa Stakabadhi ya Malipo

Tovuti Zinazohusiana

NEMC
KASHWASA
Bonde la Ziwa Viktoria
Tovuti ya Taifa

Kupata Namba za Malipo

Kupata ankara yako na huduma nyingine, tafadhali fuata hatua zifuatazo;

 1. Piga *152*00#
 2. Chagua 6; Maji
 3. Chagua 1; Huduma za Maji za Pamoja
 4. Chagua Huduma Unayoitaka
 5. Ingiza Namba ya Akaunti (A476... au B476...)
Njia za Kufanya Malipo