Dhima na Dira
Kutoa huduma bora na nafuu ya majisafi na Usafi wa Mazingira katika Manispaa ya Shinyanga kwa kuwa na Watumishi wanaojituma, wenye ufanisi na wanaofanya kazi kwa bidii na kutumia teknolojia za kisasa na zilizo rafiki kwa mazingira.
DiraMamlaka imedhamiria kuwa Mamlaka bora Tanzania katika utoaji wa huduma endelevu ya majisafi na salama pamoja na kuwa rafiki wa mazingira katika uondoaji wa maji taka.