Kusitisha Huduma

Njia mbalimbali hutumika katika kukusanya madeni toka kwa Wateja (Tukizingatia kwamba, huduma ya maji hutolewa kwa mkopo na Wateja hulipa baada ya kupelekewa madai/Ankara zao), njia hizi ni kama ifuatavyo;

Njia hizi huzingatia Sera ya madeni ya Mamlaka.



Tovuti Zinazohusiana

NEMC
KASHWASA
Bonde la Ziwa Viktoria
Tovuti ya Taifa

Kupata Namba za Malipo

Kupata ankara yako na huduma nyingine, tafadhali fuata hatua zifuatazo;

  1. Piga *152*00#
  2. Chagua 6; Maji
  3. Chagua 1; Huduma za Maji za Pamoja
  4. Chagua Huduma Unayoitaka
  5. Ingiza Namba ya Akaunti (A476... au B476...)
Njia za Kufanya Malipo