Maandalizi ya Ankara

Usomaji wa Dira

Zoezi hili hufanywa na Wasaidizi wa Mauzo ambao hutembelea na kuzisoma dira zote za wateja ili kupata usomaji.

Taarifa za usoamji huingizwa kwenye mfumo wa kuandaa ankara za wateja, kuhakikiwa na baadae kuandaa ankara za wateja ambazo hutoka kila mwisho wa mwezi.

Ulipaji wa Ankara

Malipo yote yanafanyika kupitia namba za malipo ambazo hutolewa kwenye kila ankara ya mteja. Mteja anaweza kutumia huduma za kifedha kupitia simu za mkononi (M- Pesa, TigoPesa, Hallo Pesa, Airtel Money na T-Pesa), Benki za NMB na CRDB pamoja na mawakala wao.

 

Tovuti Zinazohusiana

NEMC
KASHWASA
Bonde la Ziwa Viktoria
Tovuti ya Taifa

Kupata Namba za Malipo

Kupata ankara yako na huduma nyingine, tafadhali fuata hatua zifuatazo;

  1. Piga *152*00#
  2. Chagua 6; Maji
  3. Chagua 1; Huduma za Maji za Pamoja
  4. Chagua Huduma Unayoitaka
  5. Ingiza Namba ya Akaunti (A476... au B476...)
Njia za Kufanya Malipo