Hatua za Kuomba Maunganisho Mapya
Hatua:
- Mteja atachukua, atajaza na kuwasilisha formu hiyo katika ofisi za SHUWASA
- Mteja hutembelewa kwa ajili ya kupima na kutathimini
- Mtejwa huandaliwa gharama kwa ajili ya maunganisho mapya
- Mteja atatakiwa kulipa gharama atakazokuwa amepewa
- Baada ya malipo kufanyika, Mteja ataunganishwa kwenye mfumo wa maji
- Baada ya kuunganishwa kwenye huduma, Mteja atatakiwa kuingia mkataba wa makabidhiano
ANGALIZO: MALIPO YOTE YANAFANYIKA KWA NAMBA ZA MALIPO KUPITIA SIMU NA BENKI.