Mbeya WSSA Visit

Picha ya pamoja kati ya Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti za Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Shinyanga na Mbeya wakati wa Ziara ya Mafunzo kwa Bodi ya Mbeya WSSA waloifanya SHUWASA.

Staff Retirement

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurungezi na Menejimenti ya SHUWASA pamoja na Mfanyakazi aliestaafu (watano kutoka kushoto) wakati wa sherehe ya kumuaga Mstafu huyo iliyofanyika SHUWASA

TUGHE Chairman

Mwenyekiti wa TUGHE tawi la SHUWASA TUGHE (Nassoro Mashishanga) akiongea mbele ya Naibu Waziri wa Wizara ya Maji alipoitembelea SHUWASA tarehe 11 Januari 2018.

TUGHE Chairman

Wafanyakazi wa SHUWASA wakiendesha elimu juu ya huduma ya maji katika shule ya sekondari Mwasele

Water pipe

Bomba la Maji


The Managing Director

Mhandisi Yusuph Katopola, Mkurugenzi Mtendaji

Napenda kuchukua nafasi hii kukushukuru kwa kutembelea tovuti yetu ambayo imeendaliwa kwa ajili ya kuelezea kazi zinazofanywa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Shinyanga kuhusu eneo la huduma na viashiria vya utendaji kazi katika kulinda taswira ya Mamlaka kwa jamii.

Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa SHUWASA, napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wateja wetu wapendwa na umma kwa ujumla kwa ushirikiano mnaotupa katika kutekeleza majukumu yetu ya kila siku.

Asanteni sana na Karibuni.

Habari Mpya
------------------------------------------

Kupata Namba za Malipo

Kupata ankara yako na huduma nyingine, tafadhali fuata hatua zifuatazo;

  1. Piga *152*00#
  2. Chagua 6; Maji
  3. Chagua 1; Huduma za Maji za Pamoja
  4. Chagua Huduma Unayoitaka
  5. Ingiza Namba ya Akaunti (A476... au B476...)
Njia za Kufanya Malipo