Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaWizara ya Maji
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA)
Dhima na Dira
Mamlaka imedhamiria kuwa Mamlaka bora Tanzania katika utoaji wa huduma endelevu ya majisafi na salama pamoja na kuwa rafiki wa mazingira katika uondoaji wa maji taka.